- Lyrics
- Album list
Just A Band
-
Ha-He
Microphone check one, one two (Musyoka)
[Verse 1]
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare Mi si mnati, si barbie, niko tu katikati Staki kuskiza story za charity, charity Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity Sema oh
[Hook]
Juu tuko works mzeiya Evacuate the area Juu tuko works mzeiya
[Verse 2]
Serikali haijali So naona mbwa kali afadhali Dame amejam juu dough haikam Na siwezi kum-show ati life ni exam juu Ntatupiwa sufuria Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi So nikikupita tao, tao Jua sio madharau-rau
[Hook]
[Verse 3]
Nipe, nipe nafasi Nikueleze kiasi Vile sisi hufanya Pande hii ya the tracks Hatuchezi na kazi Usipoteze wakati Tumekunja mashati
[Hook x 5]
-
|